Vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu waliosalimika kufuatia maporomoko ya udongo yaliyokikumba kijiji cha Malin kilichopo karibu na mji wa Pune katika jimbo la Maharashtra magharibi mwa India.
Maporomoko hayo yamefukia zaidi ya nyumba 40, na inaelezewa kuwa watu zaidi ya 23 wamefariki dunia, huku watu 10 wakiolewa toka katika maporomoko hayo.
Maporomoko ya ardhi imekuwa ni kitu cha kawaidi nchini India hasa katika vipindi vya mvua nchini humo.
Magari ya vikosi vya uokoaji yakipita kwa taabu baada ya barabara kuharibiwa na maporomoko hayo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni