.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

KILO 260 ZA MENO YA TEMBO ZAKAMATWA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA JOMO KENYATTA LEO

Maafisa wa Mapato Kenya leo wamekamata kilo 260 za meno ya tembo kwenye jengo la mizigo la Swissport katika uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi.

Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) imesema meno hayo yalikuwa yasafirishwe kimagendo kwenda Kuala Lumpur, Malaysia kwa kutumia nyaraka feki.

Meno hayo ya tembo yanakadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 39 za Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni