.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

MH AMOS MAKALLA ATEMBELEA BUNGE LA MAREKANI

 Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akisikiliza maelekezo baada ya kutembelea jengo la Bunge la Marekani

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiwa na ujumbe wa washiriki wenzake wakipata maelekezo ndani ya jengo la Bunge la Marekani.


Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiwa katika jengo la Bunge la Marekani,Capitol hill baada ya kufanya ziara katika Bunge hilo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiwa ndani ya treni kuelekea Capitol Hill

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni