.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

MWANAUME MMOJA AFIA KIZUIZINI NCHINI KENYA BAADA YA KUSHIKILIWA NA POLISI KWA DENI

Polisi nchini Kenya wanachunguza mazingira ambayo mwanaume mmoja aliyekuwa akishikiliwa na polisi kwa deni la shilingi 600 za Kenya kufiwa kizuizini.

Polisi wanajaribu kubaini kwa namna gani mwanaume huyo Fredrick Mbura aliishia kushikiliwa na polisi kutokana na deni hilo.

Marehemu Mbura aliswekwa rumande na polisi wa kituo cha Kasarani siku ya Ijumaa kutokana na deni hilo analodaiwa na duka la Nawa Auto Spares ambapo alishakuwa ameshalipa sh 3000 za Kenya na kubaki 600 kumaliza deni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni