.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU 48 NCHINI TAIWAN

Watu 48 wamefariki dunia baada ya ndege ya abiria kuanguka nchini Taiwan eneo la Penghu archipelago kufuatia hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na mvua kubwa.

Ndege hiyo iliyokuwa imebeba abiria 58 imeanguka juu ya majengo baada ya kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Magong.

Watu kumi tu waliokuwa kwenye ndege hiyo ndio wamenusurika kifo ambapo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni