Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya waumini wa dini ya kiisalamu wilaya Monduli.
Waumini wakipata fuatari.
Meza Kuu wakipata futari.
Mke wa mbunge wa jimbo la Monduli, Regina Lowassa akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo hilo Edward Lowassa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli. Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelock Sokoine akizungumza katika hafla ya futari iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni