.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Julai 2014

PINDA AZINDUA CHUO CHA VETA NA KUKABIDHIWA NYUMBA YA WALIMU SAME


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja wilayani Same. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe katika uzinduzi wa Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba iliyojengwa na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji alichozaliwa cha Mtii. Nyumba hiyo ilitolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Same ili ilitumike kama makazi ya Walimu. Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kushoto) akipokea zawadi ya miwa kutoka kwa mkazi wa kijiji cha Mtii wilayani Same (jina Halikupatikana)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa kijiji cha Mtii wilayani Same baada ya kukabidhiwa nyumba ya walimu iliyojengwa katika kijiji hicho na Jaji Mstaafu Amir Manento, Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni