Rais Kikwete akipakua futari Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni.
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni