.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

JAJI AWASHANGAZA WATU BAADA YA KUSEMA HAMTAMBUI MWANAMUZIKI RIHANNA

Jaji mmoja nchini Marekani, amewashangaza wengi baada kuonekana kutomfahamu kabisa mwanamuziki nyota Rihanna, baada ya kuuliza mahakamani hivi huyo Rihanna ni nani?.

Inaonekana umaarufu wa Rihanna uliotokana na kuuza nakala za albam milioni 30 duniani si kitu, baada ya Jaji huyo kuletewa kesi ya mtu anayetuhumiwa kufuatilia nyendo na maisha ya Rihanna na Jaji huyo kushindwa kumtambua Rihanna.

Baada ya Jaji Abraham Clott kuambia mtu asiyenamakazi maalum, Kevin McGlynn amekamatwa kwa kosa la kufuatilia nyendo na maisha ya Rihanna, Jaji huyo alisema hafahamu kabisa huyo Rihanna ni nani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni