.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano ikulu jijini Dar es Salaam leo.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha tunda la ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni