.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

MOTO MKUBWA WAENDELEA KUWAKA KATIKA MAGHALA YA KUHIFADHI MAFUTA MJINI TRIPOL

 Moto mkubwa unaendelea kuteketeza hifadhi kubwa ya mafuta mjini Tripol nchini Libya, baada ya wapiganaji wa kiislamu kurusha makombora na kulipua kituo hicho ambacho inasadikiwa kuwa takribani mapipa yenye uwezo wa kuhifadhi mafuta lita milioni sita yaliyosafishwa yanateketea. 

Tayari serikali ya mpito imemba msaada kwa mataifa mengini ili kuuzima moto huo, na tayari imeyaomba makundi yanayopinga kusitisha mapigano ili kufanikisha kuzimwa kwa moto huo ambao kama ukiendelea kusambaa katika maeneo mengine madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi.
Mpaka sasa watu 97 wamefariki dunia kufuatia mapigano hayo ya makundi yanayotaka kila moja kuudhibiti mji wa Tripol.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni