Baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga
jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi
baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur
Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Kikwete akiwapa mkono wa Iddi waumini waliohudhuria swala ya Iddi



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni