.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 29 Julai 2014

SERENA WILLIAMS APONA KUSHIRIKI MICHUANO YA WAZI YA MAREKANI

Serena Williams atakuwa amepona kutetea taji lake la michuano ya wazi ya Marekani baada ya kupona ugonjwa uliomfanya asiendelee na michuano ya Wimbledon.

Mchezaji huyo namba moja wa tenesi, alilazimika kujitoa katika mchezo wa wawili wawili akiwa na dada yake Venus mapema mwezi huu baada ya kushindwa kucheza kufuatia kushambuliwa na virusi.
                                               Nipo Fiti, Serena Williams akionyesha six-pack

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni