Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib
Bilal (nyuma ya Sheikh anayeswalisha) akijumuika na waumini wa
Kiislamu kwa Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Sehemu ya waumini wa Kiislamu katika
Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam leo asubuhi.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni