Mjamaica Kemar Bailey-Cole, ametwaa
medali ya dhahabu katika michuano ya Jumuiya ya Madola baada ya
kushinda mbio za mita 100 kwa kumaliza kwa muda wa sekunde 10.
Katika mbio hizo Muingereza Adam
Gemili amejitambulisha kimataifa baada ya kumaliza wa pili na kutwaa
medali ya fedha.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni