.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 29 Julai 2014

NYUMBA YA KIONGOZI WA HAMAS PAMOJA NA KITUO CHA TV VYAPIGWA MABOMU GAZA

Waziri Mkuu wa Israeli ametoa onyo la kuendeleza mapigano huko Gaza, ambapo jana usiku mabomu mengi yametupwa tangu mapigano hayo yaanze.

Waziri Benjamin Netanyahu amesema Israeli itaendelea kushambulia Gaza hadi hapo ifikie malengo yake ya kuuteketeza mtandao wa aridhini wa Hamas.

Israeli imefanya mashambulizi ya anga kwa kutupa mabomu 60 huko Gaza usiku na kushambulia kituo cha televisheni cha Al-Aqsa na Redio ya Al-Aqsa pamoja na nyumba ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh.

Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh ambaye nyumba yake imeshambuliwa kwa mabomu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni