.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

UAMUZI WA KUPELEKA MAJESHI ILIPOANGUKA NDEGE YA MH17 UMESHINDIKANA

Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte amesema uamuzi wa kupeleka wanajeshi wa kimataifa katika eneo ilipoanguka ndege ya Malaysia mashariki Ukraine ni jambo lisilowezekana.

Eneo hilo kwa sasa lipo mikononi mwa wapiganaji wanaoungwa mkono na Urusi, ambao wanatuhumiwa kwa kuidungua ndege ya MH17, na kuua abiria wote 298.
    Mabaki ya Ndege ya MH17

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni