.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

CHELSEA YAICHAPA OLIMPIJA LJUBLJANA 2-1 YAKIWA NI MAANDALIZI YA LIGI KUU UINGEREZA

 Chelsea imeendelea kufanya vizuri katika michezo yake ya kujiandaa na ligi kuu ya Uingereza inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. 

Jana ikiwa na nyota wake iliyowasajili, Chelsea iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Olimpija Ljublijana uliochezwa Slovenia. 

Diego Costa alionyesha thamani yake baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha katika kipindi cha pili baada ya Olimpija kutangulia kupata bao katika kipindi cha kwanza.
 Baada ya bao hilo la kusawazisha aliliofunga Costa, nyota mwingine aliyesajiliwa na matajiri hao wa London msimu huu, Kurt Zouma alifunga bao la pili nala ushindi katika mchezo ambao pia ulimshuhudia Didier Drogba amabye amerejeshwa darajaini akiwa jukwaani.
                                                             Kocha mkuu wa Chelsea, Mreno Jose Mourinho

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni