.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Julai 2014

WATAALAM WAUNDA KIFAA CHA PAKA NAYE AWEZE KUFANYA MAZOEZI

Kifaa kipya cha mazoezi kwa wanyama wa nyumbani kimeingia katika soko, kikiwa kinalenga kuwapatia mazoezi paka ambao hufungiwa ndani tu.

Kifaa hicho kiitwacho One Fast Cat kimeundwa duara ambalo huanza kuzunguka pale tu paka atakapoanza kutembea ndani yake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni