.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

WATU 15 WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI NCHINI AFGHANISTAN

Watu 15 wamepigwa risasi na kufariki dunia papo hapo, baada ya mtu mwenye silaha kuyashambulia mabasi miwili madogo ya abiria nchini Afghanistan. 

Mtu huyo anayedhaniwa ni kutoka kundi la Taliban, alifanya shambulio hilo wakati watu hao walipokuwa wakisafiri kwa barabara katika jimbo la Ghor nchini Afghanistan. 

Kwa mujibu wa taarifa toka kwa maafisa wa polisi wa jimbo hilo, mtu huyo mwenye silaha aliyasimamisha mabasi hayo, akawaamuru abiria wote kushuka chini, kisha akaanza kuwamiminia risasi na kuwaua wote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni