.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Julai 2014

WATU 17 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA KUFUATIA AJALI YA BASI LA MOROBEST NA LORI LA MIZIGO

Zaidi ya abiria 17 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Morobest kutoka wilayani Mpwapwa mkoni Dodoma kuelekea jijini Dar es Salaam wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 50 wakijeruhiwa baada ya basi hilo kugongana na lori la mizigo katika eneo la Pandambili, Dodoma. 

Chanzo cha habari kinasema kuwa, chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa lori aliyekuwa akitaka kulipita lori lingine, ndipo lilipo gongana uso kwa uso na basi hilo. Madereva wote wawili ni kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni