.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 29 Julai 2014

WAZIRI MKUU MH PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA DR. IRENIUS JOSEPH KAPIRI


Waziri Mkuu, Mh Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhiri wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyumbani kwa Marehemu, Mbezi Maramba Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waomboleaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Mbezi Maramba Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, ukiteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Mbezi Maramba Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni