.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

BAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!


Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.


Hashimu Donode akiwarahatupisha mashabiki wake kwa vocal kaliiii na tamu.


Skylight Band Divas Wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha Thai Village Ijumaa iliyopita,Wa kwanza kushoto ni Mary Luvcos, Digna Mbepera(katikati)na Wa kwanza kulia ni Aneth Kushaba.

Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa Mashabiki wao ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita wa kwanza kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba(katikati)na wa mwisho kutoka kulia ni Sam Mapenzi.


Sugua suguaaaa mguuu wa kushoto mbeleeeeee,mguu wa kulia nyumaaaaaaa hapo mashabiki wa Skylight band wakifurahia mastyle makaliiii toka kwa wanamuziki wa Bendi.


Kwa Rahaaaaa zao wakiserebuka njoo nawewe Ijumaa ya leo ufurahie muziki mzuri.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni