.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

ISRAEL NA HAMAS WAFIKIA MAKUBALIANO YA KUSIMAMISHA MAPIGANO KWA SAA 72

 Israel na Hamas zimekubaliana kusimamisha mapigano kwa saa 72, makubaliano ambayo yamefikiwa alhamisi jioni na yanatarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia leo ijumaa. 

Wakati makubaliano haya yanafikiwa, tayari Wapalestina 1,441 wengi wao wakiwa raia wameuawa kufuatia mashambulizi ya makombora ya Israeli katika ukanda wa Gaza tangu July 08'2014 mashambulizi hayo yalipoanza, huku Israel nayo ikiwapoteza wanajeshi wake 56 na raia 2.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni