.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Agosti 2014

BASI LA WANAFUNZI LAPOTEZA MUELEKEO NA KUTUMBUKIA KORONGONI

Dereva wa basi la shule ya Booker Acadmy amejeruhiwa baada ya basi dogo alililokuwa akiendsha kupoteza muelekeo na kupinduka korongoni huko Chempsangori katika barabara ya Kapsabet-Kisumu. 

Kwa mujibu wa maofisa wa chama cha msalaba mwekundu, abiria wengine waliokuwa katika gari hilo walikimbizwa katika hospitali ya Nandi Hill kwa matibabu zaidi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni