.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Agosti 2014

KENYA KATIKA HADHARI YA KUSHAMBULIWA NA MAGAIDI WA AL SHAABAB

Maofisa wa polisi nchini Kenya wametoa tahadhari ya uwezekano wa kufanyika kwa mashambulizi toka kwa magaidi wanaoisakama nchi hiyo. 

Taarifa toka kwa vyombo vya usalama vimesema wahusika hao wanapata mafunzo nchini Somalia. 

Hivi sasa ulinzi umeimarishwa katika mipaka ya nchi hiyo pamoja na viwanja vya ndege. 

Maofisa usalama wamelekezwa kuwakagua kwa umakini mkiubwa watu wanaoingia nchini Kenya wakitokea Somalia, Sudan na Jamuhuri ya Kidmokrasi ya Kongo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni