Kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani nchini Iraq, mashambulizi ambayo yaliwalenga wanamgambo wa kiislam wa kundi la ISIS, kundi hilo limeionya Marekani.
Katika taarifa yao kupitia mitandao ya kijamii, kundi la ISIS limesema kuwa litawashambulia raia wa Marekani kwasababu ya taifa hilo kufanya mashambulizi yake nchini Iraq.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni