.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Agosti 2014

BENKI YA DUNIA KUTOA DOLA MILIONI 200 KUKABILIANA NA EBOLA AFRIKA MAGHARIBI


Benki ya Dunia imetangaza kutenga dola milioni 200 kwa ajili ya msaada wa dharura kwa nchi za Afrika ya Magharibi ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

Fedha hizo zitatolewa kwa serikali za Liberia, Sierra Leone na Guinea pamoja na kwa Shirika la Afya Duniani (WHO).

Idadi ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa ugonjwa huo hatari imefikia watu 887, kwa mujibu wa WHO.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni