Daktari wa Marekani Nancy Writebol akiwa na watoto Liberia
Madaktari wawili wa Marekani
walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola huko Liberia, afya zao
zimeanza kuimarika baada ya kupatiwa dawa ya majaribio ya ugonjwa
huo.
Hata hivyo haikowazi iwapo dawa hiyo
Zmapp, ambayo ilifanyiwa majaribio kwa nyani, ndio iliyosaidia
madaktari hao kupata nafuu.
Ugonjwa wa Ebola uliolibuka katika
nchi za Afrika ya Magharibi mwezi Februari umeshauwa watu 887 hadi
sasa.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni