.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 31 Agosti 2014

GOOGLE WATENGENEZA NA GARI LINALOJIONDESHA LENYWE

Kampuni ya Google imetengeneza gari la kwanza ambalo halihitaji dereva linajiendesha lenyewe ambalo halina uskani, gia wala breki.

Gari hilo linajiendesha lenyewe kwa kusoma alama za barabara, kubadili njia pamoja na kusimama kwa dharura lenywe bila kuongozwa na mtu.
            Abiria akiwa anaendelea na shughuli zake huku gari hilo likijiendesha 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni