.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

HERVE RENARD ATEULIWA KUIFUNDISHA TIMU YA TAIFA YA IVORY COAST

Mfaransa Herve Renard ameteuliwa  na shirikisho la soka la Ivory Coast kukionoa kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo. 

Renard anachukua nafasi ya Sabri Lamouchi ambaye alijiuzulu kuendelea kuifundisha timu ya taifa ya Ivory Coast baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la Dunia zilizofanyika nchini Brazil mwaka huu. 

Renard mwenye miaka 45 alikuwa ikiifundisha timu ya taifa ya Zambia, na mwaka 2012 aliipeleka timu hiyo katika fainali za Mataifa ya Afrika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni