.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Agosti 2014

MAHAKAMA YA KATIBA NCHINI UGANDA YAFUTA SHERIA YA KUPINGA USHOGA

Baadhi ya wananchi wakiwa mahakamani kufuatilia uamuzi utakaotolewa na mahakama hiyo ya Katiba nchini Uaganda.

Mahakama ya Katiba nchini Uganda, imetengua maamuzi ya kupinga mapenzi ya jinsia moja ( ushoga ) nchini humo.

Mahakama hiyo ya Katiba imesema kuwa wakati maamuzi hayo yanapitishwa na wabunge mwezi December mwaka jana na baadaye kusainiwa na Rais Museveni kuwa sheria mwezi February mwaka huu, idadi ya wabunge inayotakiwa ilikuwa haijatimia. 

Kupitishwa kwa sheria hiyo kulisababisha mataifa mbalimbali kukata misaada yake kwa Uganda yakiwemo mataifa ya Uholanzi, Denmark, Sweden, Norway.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni