Israel na kundi la Hamas la Palestina wameshindwa kuheshimu makubaliano ya kusimamisha mapigano kwa saa 72 kwa sababu za kibaanadamu kama walivyotangaza hapo awali, baada ya makombora ya Israel kushambulia ukanda wa Gaza na kuua zaidi ya watu 50.
Shambulio hilo inasemakana limekuja muda mfupi baada ya mwanajeshi wa Israel kutekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas.
Mwanajeshi huyo ametajwa kuwa ni Hadar Goldin mwenye miaka 23, na inasemekana alipotea wakati wa operesheni kabambe ya Israel katika mji wa Rafah uliopo kusini mwa Gaza.
Wananchi wa Palestina wakiangalia moja ya makombora lililoanguka kando ya barabara, Deir Al-Balah huko ukanda wa Gaza.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni