Wizara ya afya ya Saudi Arabia imethibitisha mtu mmoja raia wa nchi hiyo aliyekuwa mgonjwa na baadaye kuthibitishwa kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Ebola amefariki dunia akiwa hospitali mjini Jiddah, Saudi Arabia.
Taarifa ya wizara hiyo ya afya imesema kuwa, mgonjwa huyo mwanaume amefariki jumatano asubuhi.
Inasemekana alikuwa nchini Sierra Leone kabla ya kurejea Saudi Arabia, ambako alionyesha kuwa na dalili zote za ugonjwa huo ambao hivi sasa unaendelea kuua watu wengi katika nchi za Afrka Magharibi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni