.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 30 Agosti 2014

KELLY ROWLAND AENDELEA KUFANYA MAZOEZI PAMOJA NA KUWA MJAMZITO

Mwanamuziki Kelly Rowland ( 33 ) ambaye anatarajia kujifungua mtoto hivi karibuni akiwa na mumewe Tim Witherspoon amekuwa akifanya mazoezi mara kwa mara pamoja na kuwa mjamzito ili kuuweka mwili wake katika hali nzuri. 

Mwanamuziki huyo nyota wa kundi la zamani la Destiny's Child amekuwa na mumewe Tim toka mwaka 2011 na walifunga pingu za maisha katika harusi iliyokuwa na usiri nchini Costa Rica May 09' 2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni