.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Agosti 2014

KUNDI LA IS LAFANYA UNYAMA WA KUPITILIZA KWA WATU WA KABILA DOGO LA YAZIDI

Wapiganaji wa Kislam wa kundi la IS wamekuwa wakifanya unyama wa kupitiliza dhidi ya raia ambapo baadhi ya picha zinaonyesha watu wakiwa wameuwawa kwa kusulubiwa msalabani.

Wapiganaji hao wenye lengo la kuanzisha taifa la Kiislam wametoa muda hadi leo kwa watu wa kabila dogo la Yazidi kujiunga na uislama ama watauwawa wote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni