Kylie Minogue,
Lulu, Deacon Blue pamoja na watumbuizaji wengine zaidi ya 2,000
baadae leo watafunga kwa burudani michuano ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2014
inayofanyika huko Glasgow.
Watu wapatao
40,000 watashuhudia sherehe za dakika 90 za kufungwa michuano hiyo
katika uwanja wa Hampden Stadium, huku mamilioni wengine wakitazama
kupitia runinga zao.
Waandaaji
wamesema kuwa kauli mbiu ya shoo hiyo ni "All Back To Ours",
huku ikielezea uhalisia wa Glasgow nyakati za usiku.
Kundi la Deacon Blue

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni