.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 3 Agosti 2014

MUIGIZAJI NYOTA WA KENYA ALIYEIGIZA KATIKA MCHEZO WA TAUSI AMEKUFA

Muigizaji Nyota wa Kenya Derek Amuga, ambaye alikuwa ametoweka tangu Julai 25, imethibitishwa kuwa amekufa.

Amuga alipata umaarufu katika miaka ya 90, akiigiza kama mtoto wa mitaani kwenye mchezo wa Tausi, akijulikana kama Master Sugu.

Tangu wakati wa igizo hilo Amunga, hakuwa anaigiza kwenye majukwa wala katika michezo ya runinga.

Taarifa za kutoweka kwake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii tangu wiki iliyopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni