.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Agosti 2014

LIBERIA YAIOMBA MAREKANI DAWA MPYA YA ZMAPP KUJARIBU KUTIBU EBOLA

Nchi ya Liberia itapokea dawa ambayo haijafanyiwa majaribio ya Zmapp, ili kuwatibu watu wanaougua ugonjwa hatari wa Ebola.

Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, amesema hatua hiyo inatokana na ombi la nchi yake kwa Marekani ili kupatiwa dawa hizo.

Hatua hiyo imekuja wakati wataalamu wa tiba wakikutana Jijini Geneva katika kujadili namna ya kutumia tiba hiyo mpya ya dawa za Zmapp.

Shirika la Afya Duniani (WHO) ambalo ndio mwenyeji wa mkutano huo limesema jumla ya watu 1,013 wamekufa kwa ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni