.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Agosti 2014

LIVERPOOL YAICHAKAZA BORUSSIA DORTMUND KWA MABAO 4-0

Timu ya Liverpool imemaliza michezo yake ya kujinoa kwa ajili ya msimu wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa kishindo baada ya kuifunga timu ya Borussia Dortmund kwa mabao 4-0.

Katika mchezo huo mchezaji Liverpool Mbarazil Philippe Coutinho, alionyesha kiwango cha hali ya juu, ambapo mabao yaliwekwa kimiani na Sturridge, Lovren, Coutinho pamoja na Henderson.
                                                         Sturridge akishangilia bao lake kwa kucheza

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni