| Mabondia Maneno Osward kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo jumapili katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es salaam picha na WWW.SUPESDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM |
Bondia Juma Biglee akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake leo
Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kushoto ni Maneno Osward
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni