.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Agosti 2014

MAELFU YA MASHABIKI WAPAGAWA NA KILI MUSIC TOUR MBEYA


Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Mbeya, Izzo B akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa jiji lake la Mbeya waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


AY & Mwana FA: Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay na MwanaFA wakishambulia jukwaa kwa pamoja katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwajibika jukwaani katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa New City Pub, Mbeya. Tamasha hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Msanii maarufu, Shilole a.k.a Shishi Baby akiwa sambamba na shabiki wake katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour Tamasha hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki wa Pili, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani kwa maelfu ya washabiki katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour Tamasha hilo limedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni