Waziri wa Ardhi Charity Ngilu akikagua mafaili ya ardhi
Takribani mafaili 125,574 ya ardhi
yaliyopotea mjini Mombasa na Kilifi yamepatikana katika wiki tatu ya
upangaji na usafi katika mashubaka.
Waziri wa Ardhi wa Kenya Bi. Charity
Ngilu amesema mafaili hayo yaliyokuwa yamepotea yamesababisha
kuchelewa kwa kesi katika Mkoa wa Pwani.
Akiongea Mjini Mombasa Ngilu
ametangaza kuwa wakazi waliokatika makazi yasiyorasmi katika hekari
930 kwenye shamba la Waitiku watapewa ardhi na kupewa hati za viwanja.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni