.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 2 Agosti 2014

MH. AMOS MAKALLA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Amos Makalla, anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Mzee Gabriel Makalla kilichotokea usiku wa kuamkia leo 02 Aug 2014 jijini Dar es Salaam.

Mipango ya mazishi inafanyika Palm Resdident/Ocean Road namba 18E Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu utaagwa kesho jumapili saa sita mchana Azania Front na maziko yatafanyika jumatatu 04 Aug 2014 Kidudwe Mvomero

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni