.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Agosti 2014

MWANAHARAKATI WA MAZINGIRA WA KIMATAIFA ATEULIWA KUWANIA URAIS NCHINI BRAZIL

Chama cha Kisoshalisti cha Brazil (PSB) kimemtangaza rasmi mwanaharakati wa kimataifa wa mazingira Bi. Marina Silva kuwa mgombea wake mpya wa urais.

Bi. Silva anachukua nafasi ya marehemu Eduardo Campos ambaye alikufa katika ajali ya ndege wiki iliyopita.

Mwanamazingira huyo alikuwa ni mgombea mwenza wa marehemu Campos, na alikuwa ni waziri wa manzingira katika serikali ya Brazil.

Bi. Silva anaonekana kuwa ataleta ushindani mkubwa kwa rais Dilma Rousseff, ambaye anawania kuchaguliwa tena katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 5, mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni