.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Agosti 2014

KENYA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI DUNIANI

                                              Waziri wa Afya Kenya James Macharia
 
Nchi ya Kenya inashika nafasi ya nne duniani kwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

Idadi ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi Kenya inafikia watu milioni 1.6, Wizara ya Afya ya Kenya imebainisha.

Afrika Kusini inaongoza kwa kuwa na watu milioni 5.6 wenye virusi vya Ukimwi, Nigeria inafuatia ikiwa na watu milioni 3.3 ambapo India inashika nafasi ya tatu ikiwa na watu milioni 2.5.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni