.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Agosti 2014

MWANARIADHA USAIN BOLT APONDA RAHA JIJINI LONDONI NA VIMWANA WAWILI

Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt amenaswa na kamera Jijini London akifanya matanuzi na wadada wawili kwenye klabu ya usiku ya Mahiki hadi saa tisa usiku.

Mkali huyo aliyesaidia Jamaica kupata medali za dhahabu katika mbio za kupokezani vijiti huko Glasgow, baada ya kutoka hapo aliendelea kula bata hadi saa 11 alfajiri katika klabu ya Raffles huko Chelsea.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni