.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Agosti 2014

NANI MBABE KATI YA MANCHESTER UNITED NA LIVERPOOL LEO ?

Timu ya Manchester United na Liverpool zinakutana leo Jijini Florida nchini Marekani katika mchezo wa kirafiki, ambao kutokana na upinzani wao mchezo huo unaonekana kama si wa kirafiki bali ni wa kuchukuliwa kwa umakini mno ili kulinda heshima.

Katika msimu uliopita Liverpool iliifunga Manchester United mabao 3-0, na kumaliza msimu wa ligi hiyo ikiwa na pointi 20 zaidi ya wapinzani wao hao wanaonolewa hivi sasa na kocha Louis van Gaal.

Kocha Van Gaal amesema atatangaza wachezaji ambao hawahitaji katika kikosi cha Manchester United baada ya kumalizika kwa mchezo huo, ambao unakamilisha ratiba za michezo ya kirafiki kwa klabu hiyo kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Uingereza.
                                        Wachezaji wa Manchester United wakijifua
Wachezaji wa Liverpool wakijifua

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni