.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Agosti 2014

KIVUKO CHAZAMA NCHINI BANGLADESH KIKIWA NA WATU 200

Kivuko kilichokuwa na abiria 200 kimezama kusini magharibi mwa Bangladesh katika Jiji la Dhaka.

Watumishi wa Uokoaji wa Dharura pamoja na wanajeshi wamefika katika tukio la ajali hiyo wilaya ya Mushiganj, ambapo ndipo ajali ilipotokea kwenye mto Padma kilomita 30 kutoka Jiji la Dhaka.

Taarifa zinasema watu 50 wameokolewa kutoka katika kivuko hicho cha Pinak 6.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni