.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Agosti 2014

NDEGE NDOGO YAANGUKA NCHINI IRAN NA KUUA ABIRIA ZAIDI YA 40

Watu zaidi ya 40 wamekufa katika ajali ya ndege ndogo ya abiria iliyoanguaka karibu na uwanja wa ndege Jijini Tehran nchini Iran.

Kitu cha televisheni cha taifa cha Iran kimesema ndege hiyo imeanguka leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Mehrabad ulipo magharibi mwa Jiji hil.

Ndege hiyo ilikuwa inaelekea katika mji wa mashariki wa Tabas wakati ilipopata ajali hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni